Mathematics • Form IV

Utenzi ni aina ya ushairi wa Kiswahili unaofuata mpangilio maalum wa vina na mizani. Kawaida utenzi huandikwa kwa beti zenye mishororo minne, ambapo kila mshororo huwa na silabi nane. Mishororo mitatu ya mwanzo huwa na vina vinavyofanana, na mshororo wa nne huwa na kina tofauti kinachojirudia katika beti zote.
Date
2026-04-27
Time
22:00
Students
0 enrolled
Teacher
Idd Mwimbe
Class Completed
This class has been held successfully