Kusoma, Darasa la Pili
Grade 2Kusoma

Kusoma, Darasa la Pili

by Dr. Respicius Kiiza

PDF155 pagesFree

Kusoma, Darasa la Pili; kimeandikwa kwa umahiri mkubwa ili kukidhi mahitaji ya Muhtasari Ulioboreshwa wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II wa mwaka 2023. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa kutumia lugha rahisi, michoro na mazoezi ya kutosha yatakayoweza kumjengea mwanafunzi umahiri wa kusoma.