
by Dr. Respicius Kiiza
Kusoma, Darasa la Kwanza, ni kitabu kilichoandikwa kwa umahiri mkubwa ili kukidhi mahitaji ya Muhtasari wa elimu ya msingi Darasa la I na la II wa Mwaka 2023. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa kutumia lugha rahisi, michoro na mazoezi ya kutosha yatakayoweza kumjengea mwanafunzi umahiri katika somo la Kusoma.