Kiswahili 1

Kiswahili 1

by Dr. Respicius Kiiza

PDFFree
Kiswahili
Form I
114 pages
Dr. Respicius Kiiza

Kiswahili kwa Shule za Sekondari: Kidato cha Kwanza ni kitabu kinachoendana na mtaala wa Kiswahili ulioboreshwa wa mwaka 2023 wa Kidato cha Kwanza katika shule za sekondari. Kitabu hiki kimesheheni mada zote wanazopaswa kufundishwa wanafunzi katika ngazi hii. Kimechambua kinagaubaga mada zote kwa kuzingatia kiwango cha walengwa ambao ni wanafunzi wa kidato cha kwanza nchini Tanzania

Rate this ebook