Kuandika Darasa la Kwanza

Kuandika Darasa la Kwanza

by Dr. Respicius Kiiza

PDFFree
Kuandika
Grade 1
155 pages
Dr. Respicius Kiiza

Kuandika Darasa la Kwanza; ni kitabu kilichoandikwa kwa umahiri mkubwa ili kukidhi mahitaji ya Muhtasari ulioboreshwa wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II wa mwaka 2023. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa kutumia lugha rahisi, michoro na mazoezi ya kutosha. Mambo haya yataweza kumjengea mwanafunzi umahiri katika somo la Kuandika.

Rate this ebook