Historia Ya Tanzania Na Maadili
Grade 4Historia Ya Tanzania Na Maadili

Historia Ya Tanzania Na Maadili

by Dr. Respicius Kiiza

PDF82 pagesFree

Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuzingatia matakwa ya mtaala ulioboreshwa na muhtasari wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili wa mwaka 2023 wa shule za msingi nchini Tanzania. Kimeandaliwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa darasa la nne. Mada zilizomo zimejadiliwa kwa kuzingatia mazingira halisi ya utamaduni wa maisha ya Mtanzania.