
by Dr. Respicius Kiiza
Kuandika Darasa la Pili, ni kitabu kilichoandikwa kwa umahiri mkubwa ili kukidhi mahitaji ya Muhtasari Ulioboreshwa wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II wa mwaka 2023. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa kutumia lugha rahisi, michoro na mazoezi ya kutosha. Mambo haya, yataweza kumjengea mwanafunzi umahiri katika somo la Kuandika.